Nani anaweza Kupata Msaada Wetu?

Ili tuweze kuchukua kesi lako, lazima uwe mojawapo ya waathiriwa au familia ya mtu ambaye ameathirwa.

Tendo litachukuliwa kama mateso, kama linatimiza yafuatayo:

Utekelezaji wa mateso unapotokana na kibali au ujuzi wa serikali, wafanyikazi wa umma au watu ambao wanazo cheo rasmi (kamavile makandarasi wa ulinzi kibinafsi) basi mateso yanaangaziwa kwa kutumia sheria maalum ya kimataifa.

Kama wewe ama jamaa yako, au mtu unayemfahamu anakidhi yaliyotajwa na ungetaka ushauri wetu au hata tuangalie kesi lako  wasiliana nasi, ikiwezekana kwa njia ya barua pepe  anwani letu likikwa info@redress.org.  Mara nyingi, ni afadhali kuwasiliana nasi kwa njia ya barua pepe badala ya simu au barua. Tutahitaji maelezo yafuatayo katika barua lako la pepe:

Mara tukapotathmini jambo hili, tutawasiliana nawe haraka iwezekanavyo. Kwahivyo hakuna haja ya kuwasiliana nasi kabla ya kupata matokeo kwa vile tutawasilina nawe vilivyo.


Back to Top

Swahili

Website by Adept