Tuma Kesi au Wasilina Nasi 

Kama wewe ni mnusuru wa mateso ambaye anatafuta ushauri, tafadhali wasiliana nasi kwa njia ya barua pepe kwa anwani ifwatayo: info@redress.org.  Ni vyema ukiwasiliana nasi kwa njia ya barua pepe, badala ya simu au kwa kuandika barua. Hata hivyo, kama huna uwezo wa kupata huduma za barua pepe, tupigie simu kwa nambari 020 7793 1777  na kuwacha maelezo mafupi , ikiwa pamohja na jina lako na nambari yako ya simu na utaweza kupata kusaidia na mshauri wa kisheria.

Kama wewe ni Shirika lolote lile,  mtoa huduma za afya, vikundi au mtu binafsi anaye fanya kazi na walionusirika kutokana na mateso, na ungependa kutuletea kesi, tafadhali tafakari kujaza fomu hii nakutuma maelezo kwa njia ya  barua pepe: info@redress.org. Pia unawezatupigia simu kwa nambari 020 7793 1777 na uliza kuzungumza na mshauri wa kisheria au mfanikazi wa kesi.


Back to Top

Website by Adept