Uhifadhi wa Mateso 

Taarifa au nyaraka yeyote unayo ambayo yahusiana na madai ya mateso  inaweza kuwa muhimu.  Ifwatayo ni orodha  ya aina tofauti  ya habari kawaida ambayo inaweza kupatikana na ni ya muhimu. Orodha hii sio kamilifu.

Yafuatayo ni orodha ya habari muhimu yanayoweza kusaidia kwa kuorodhesha vitendo vya mateso:

 

Habari yeyote nyengine yanayoweza kuthibitisha kwamba mateso imeenea nchini au katika kituo cha kizuizi.

Nyaraka sahihi ya mateso lina matumishi kadhaa muhimu. Haya ni kama (1):

 

Mataifa yana wajibu wa kuhifadhi nyaraka vya vitendo vya mateso na uchunguzaji wa vitendo hivi kwa lengo la kuendesha mashtaka dhidi ya waliohuskika. Hata hivyo mara nyingine wanaweza kushindwa kuhifadhi vitendo hivi. Mara kwa mara kuna uwezekano kwamba vikundi vya kiraia au mashirika za haki za kibinadamu huwa zimekusanya na kuhifadhi habari hii. Mashirika hizi zinaweza kutumia habari hii kuchangia mageuzi ; ili kuhakikisha ya kuwa waathiriwa wanauwezo wa kupata matibabu maalum : kuhakikisha kuwa kuna taarifa ya ukweli kuhusu yaliotendeka au pia kuangazia sheria au changamoto zakitawala zinazochangia  au zinazo patikana katika mahakama za kitaifa, kikanda na kimataifa

Mara kwa mara REDRESS hufunza na pia yaweza kufunza wanaharakati pamoja na mashirika za haki za kibinadamu jinsi ya kukusanya nyaraka na uhifadhi wa mateso.

Je, wewe ni shirika ambalo linatafuta njia ya kuhifadhi madai ya mateso?

Kuna idadi bora ya habari kuhusu  viwango na taratibu zinazotumika kwa uhifadhi wa nyaraka za mateso. Ni lazima uangazie yafuatayo kwa makini: 

 

 

 Changamoto za kuhifahdi nyaraka za mateso:

________________________________________

 

1.            Kama ilivyoelezwa katika Kanuni juu ya uchunguzi wa na uhifadhi wa nyaraka za Utesaji na Ukatili mwingine , Kinyama na Udhalilishaji au Kuadhibisha. Principles on the Effective Investigation and Documentation of Torture and Other Cruel, Inhuman or Degrading Treatment or Punishment.  Kanuni hizi zinazojulikana kama Itifaki za Istanbul  ziliunganishwa na azimio la Baraza Kuu 55/89 Desemba 4, 2000 (nyongeza) la Umoja wa Mataifa 


Back to Top

Swahili

 

Website by Adept