Umewahi (Ku)teswa?

Kama wewe au familia yako imepitia mateso, na mnahitaji usidizi, kunauwezekano tunaweza kusaidia.

Unaweza kuwa raia wa Uingereza, mkazi wa Uingereza (pamoja na mtu ambaye amepewa hadhi ya kubaki Uingereza) au mtafuta hifadhi ambaye bado anasubiri matokeo ya kesi yake. Pia tunaweza kusaidia raia wa nchi nyinginezo.

Redress inatoa huduma zake bila malipo yeyote.

Kutokana na uhaba wa rasilimali na masuala mengine ambayo yanahusika na kazi zetu, Uhaba wa rasilimali na maswala mengine yanayohuskia na kazi zetu ina maanisha ya kuwa hatutaweza kuchukua kesi zote ambazo zitaletwa kwetu. Hata hivyo tutajaribu kutoa ushauri popote tuwezapo na hata kukuelekeza kwa mashirika mengine ambazo zinaweza kukusaidia.

Kama una swali lolote ama unahitaji ushauri, tazama sehemu ya “ni akina nani ambao wanaweza kupata usaidizi wetu?” na “tuma kesi” au “wasiliana nasi”


Back to Top

Swahili

 

 

Website by Adept