Vikundi vya Msaada ya Matibabu Kijumla na Matibabu ya Kisaikilojia

Mateso yanaweza sababisha baadhi ua maradhi na matatizo kimwili na pia kisaikolojia, maumivu na majeraha ambayo yanaweza kukaa kwa muda mrefu. Vikundi vinavyo saidia walioathiriwa kwa njia ya matibabu ya marekebisho kimwili na kimawazo ni muhimu kuwezesha ushirikiano  wa wathiriwa  na pia  ahueni. Hii inaweza ikawa pamoja na matibabu ya dharura, matibabu ya muda mrefu kulingana na magonjwa mballi mbali, matibabu ya magonjwa yanayotishia maisha  pamoja na matibabu maalum kama vile ya  kurekebisha mwili na huduma za kisaikolojia.

Tathmini ya kiwiliwili na kiasaikolojia pia ni muhimu kwa uhifadhi wa nyaraka ya mateso na utendewaji wa mabaya.

Kuna aina mbali mbali ya mashirika ya kimataifa na kitaifa yanayo toa huduma hizi. Hii ni kamavile.

 

 

Shirika la IRCT ni shikrika mwamvuli  kwa zaidia ya vituo 140  vya ukrabati wa mateso ambazo zajitegemea katika nchi zaidi ya 70. Mengi ya vitu hivi vinaweza kutoa  uchunguzi ya kimatibabu maluum ya kisaikolojia yanawoyweza kutumiwa katika kesi za kisheria. Kunauwezo kulingana na eneo na rasilimali zilizopo kufanya uchunguzi kwa hali ya kasi na dharura.

Mashirika yanayo muungano na IRCT yanaweza kutoa tathmini yamatibabu ya kiwiliwili,  matibabu ya kisaikolojia na ushauri nasaha, tiba ya marekebisho  kibinafsi au katika vikundi vya waathiriwa wa mateso.  Kama kanuni vinavyo sema, , hawawezi kulipwa gharama ya matibabu, lakini hili linawezekana kulinganana mazingira, eneo na railimali zinazowezapatikana

IRCT halina ushirika wowote na serikali yeyote, ofisi lake kuu linapatikana Copenhagen, Denmark.

Orodha ya wanachama wanoashiriki na IRCT inaweza patikana hapa: http://www.irct.org/about-us/the-members.aspx.

Nambari ya Simu ya Ofisi:  +45 33 76 06 00

Barua pepe: irct@irct.org

tovuti: www.irct.org

 

Pia kunavyo vikundi vya kitaifa vingi vya waathirika  zinazopatikana duniani kote,  vikundi vingine vya waathiriwa ambavyo vimeundwa vya kimataifa ni kama vile:

 

Uingereza

 

Kama unaishi Uingereza, mashirika yafuatayo yaanaweza kuwa na manufaa kwako:

 

 

Kama unatoka sehemu za Uiingereza , na nimtafuta hifadhi ambaye amekidhi mahitaji fulani, inawezekana kwamba unaweza kuwa na haki zifuwatavyo.  ( Kanuni za Uhanimaji na Utafutaji wa Hifadhi 1999):

Kifungu cha  98 msaada – malazi ya dharura kwa watafuta hifadhi na familia zao.

Kifungo cha 95  msaada – malazi na /au msaada wa fedha kila wiki kwa wanaotafuta hifadhi na familia zao

Aina nyengine za msaada ni kama vile (Kanuni za Uhanimaji na Utafutaji wa Hifadhi 1999): (Immigration and Asylum Act 1999):

Unaweza pia kujiandikisha na daktari/ daktari wa kijumla mara tu unapolwasili Uingereza. Unapaswa kujaza fomu kutoa maelezo kamili kama vile jina lako, anwani, tarehe ya kuzaliwa. Baadhi ya hospitali yatahitaji vitambulisho vya picha, kama vile pasipoti au leseni ya kuendesha gari na ushahidi wa anwani kama vile bili/ muswada ya huduma (gesi, umeme, maji au la deni la kodi). Katika ofisi ya daktari, utaulizwa kufichua rekodi zako za matibabu na utapata nafasi ya kutoa habari lolote linalohusika na wewe kupitia kuteswa na pia kuhusu ulemavu wowote. Pia Kunavyo vikundi vingi vya kitaifa ya waathiriwa duniani kote, na vikundi vya kimataifa vinavyo endeshwa na waathiriwa kusaida walionusurika kutoka mateso. Hizi ni pamoja na:

 


Back to Top

Swahili

Website by Adept